Ta Ha 20:50 قال ربنا الذي اعطى كل شيء خلقه ثم هدى ٥٠
قَالَ
رَبُّنَا
ٱلَّذِيٓ
أَعۡطَىٰ
كُلَّ
شَيۡءٍ
خَلۡقَهُۥ
ثُمَّ
هَدَىٰ
٥٠
Akasema: Mola wetu Mlezi ni yule aliye kipa kila kitu umbo lake, kisha akakiongoa.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mūsā akamwambia, «Mola wetu ni Yule Ambaye Alikipa kila kitu umbile linalokifaa kulingana na uzuri wa utengezaji Wake kisha akamuongoza kila kiumbe uongofu kamili wa kunufaika kwa kile alichomuumbia Mwenyezi Mungu.»
Mūsā akamwambia, «Mola wetu ni Yule Ambaye Alikipa kila kitu umbile linalokifaa kulingana na uzuri wa utengezaji Wake kisha akamuongoza kila kiumbe uo…